Upcoming Events

Kutangazwa majina ya awali ya waombaji walioteuliwa kupatiwa mikopo ya elimu ya juu

Kutangazwa majina ya awali ya waombaji walioteuliwa kupatiwa mikopo ya elimu ya juu. Bodi ya mikopo...

Kufungwa kwa zoezi la utoaji na urejeshaji wa mikataba kwa wakopaji wapya

Kufungwa kwa zoezi la utoaji na urejeshaji wa mikataba kwa wakopaji wapya. Baada ya muda huu hakutakuwa...

Utoaji na urejeshaji wa Mikataba ya Mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

Utoaji na urejeshaji wa Mikataba ya Mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo. Wanafunzi wanaondelea...

Utoaji na urejeshaji wa Mikataba ya Mikopo kwa waombaji wapya

Utoaji na urejeshaji wa Mikataba ya Mikopo kwa waombaji wapya. Baada ya waombaji wapya kuteuliwa kupata...
Maombi ya mikopo ya Elimu ya Juu 2018/2019

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inawatangazia wanafunzi wote wanaohitaji kujiendeleza katika fani mbali mbali za Elimu ya Juu kuwa fomu...

Nafasi za ufadhili wa masomo

Kuanzia mwaka wa masomo 2016/17, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kupitia BMEJZ imeanzisha utaratibu wa kutoa nafasi za ufadhili wa masomo (scholarships) kwa wahitimu wa kidato cha sita wenye ufaulu wa daraja la kwanza katika mitihani ya Taifa ya kidato cha sita. Walengwa wa ufadhili wa masomo watakuwa wanafunzi wa kidato cha sita wa masomo ya sayansi wenye ufaulu mzuri zaidi katika mitihani yao ya taifa ya kidato cha sita. Kila mwaka kutatolewa nafasi kumi (10) kwa...

 1. Wajibu wa Mkopaji
  Kutoa taarifa kwa uongozi wa BMEJZ kuhusu...
 2. Adhabu kwa Mdhamini anayekiuka wajibu wake
  Mdhamini atakayeshindwa kutekeleza wajibu wake...
 3. Muda wa Marejesho
  Mkopaji ambaye wakati wa kuomba mkopo hakuwa...
 4. Wajibu wa Mwajiri
  Kila mwajiri anapaswa kuijuilisha Bodi...
 5. Wajibu wa Mdhamini wa Mkopaji
  Mdhamini wa mkopaji anawajibika: Kutoa...
 6. Adhabu kwa Mwajiri Anayekiuka Wajibu Wake
  Mwajiri atakayeshindwa kutekeleza wajibu wake...